PAUL CLEMENT - MWAMINIFU

PAUL CLEMENT - MWAMINIFU #1
Click image to play video, right click to save image. (Image via youtube.com)
Music Details
TitlePAUL CLEMENT - MWAMINIFU
MP3 Size5.22 MB (estimated)
Duration05:13
Views269.0K
Sourceyoutu.be/Ey3Y0gPetaQ
Description

Mungu hawezi kukuacha njiani alianza na wewe atamaliza na wewe. Anaangalia Neno lake ili apate kulitimiza. Yeye ni Mwaminifu wakati wote.

Song: MWAMINIFU
Artist: PAUL CLEMENT
Audio: Fisher Records
Dir: Director Joma
Producer: Johbass
Music: Mordens Music
Lead Guitar: Emmanuel Gripa
Bass Guitar: Johbass

CONTACTS
Email:[email protected]
[email protected]
Facebook:Paul clement
Instagram: minister_paulclement

LYRICS
Una wasi wasi
Hofu na mashaka
Unahisi moyoni kama MUNGU kakuacha
Maana unaona hausogei wala huendelei
Uko palepale kila siku
Uko vilevile X2
MUNGU aliianzisha safari tena ataimaliza
Maana alikujua kabla hujajijua kabla hujazaliwa
MUNGU hawezi kukuacha njiani
Safari yako aliianzisha mwenyewe
Asingetaka angekuacha mwanzoni
Unakokwenda yeye anajua X4

Atainyosha njia yako X2
Ina mabonde kweli
Ina vikwazo vingi
Atainyoosha njia yako
©2018 Administered by Ngomma VAS Limited.
#PaulClement #Mwaminifu #NgommaTz

CopyrightAll materials' copyright are belong to their respective owners and/or uploader. This video was uploaded by Paul Clement
LicenseLicensed under YouTube Standard License
Download as MP3
Download as MP4
TagsPAUL CLEMENT - MWAMINIFU, Download PAUL CLEMENT - MWAMINIFU, Download Video PAUL CLEMENT - MWAMINIFU, Download MP3 PAUL CLEMENT - MWAMINIFU, Download PAUL CLEMENT - MWAMINIFU episode terbaru, PAUL CLEMENT - MWAMINIFU terbaru

Related Posts: